The Nest Collective’s We Need Prayers: This One Went To the Market, a review by bethuel muthee

Tangu Nest Collective wachomoke kwa scene 2012, wamekuwa mbogi imechangamsha usanii Kenya design ya ngori wakitumia mamovie, TV, fashion na projects za ngoma kati ya vitu mob. Projects wamefanya niĀ  kama Stories of Our Lives, feature film yenye ilikaziwa viewing Kenya juu ya utiaji ya censorship lakini inapatikana kama mbuku; web series Tuko Macho yenye inafuata ma-vigilante flani online wenye […]